Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda mfupi mjini Morogoro zimesababisha
mafuriko na baadhi ya barabara kushindwa kupitika na maji kujaa katika
baadhi ya maduka.
Wakazi
wa mji wa Morogoro wakizungumzia mafuriko hayo wamelalamikia
miundombinu mibovu ya barabara kutokana na kuziba kwa mitaro ambapo
wameitaka halmasauri ya mji wa Morogoro kuzibua mitaro hiyo huku baadhi
ya wafanyabiashara
↧