Jeshi
la polisi mkoani Morogoro limeendelea na operesheni shirikishi kwa
kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, askari wa hifadhi ya taifa
TANAPA, hifadhi ya mikumi na wananchi ambapo wamemtia mbaroni mtuhumiwa
mwenye silaha aliyekuwa akitaka kwenda kufanya uhalifu.
Katika tukio lililothibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro
Leonard Paul, mtuhumiwa huyo Juma Salum (
↧