JESHI la Magereza limefanikiwa kumdhibiti Mahabusu wa Kesi ya dawa za
kulevya ambaye ni Raia wa Sieralioni, Abdul Koroma (33) asitoroke chini
ya Ulinzi wa Askari Magereza ndani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar
es Salaam, kwa kumtwanga risasi na kumuua papo hapo!
Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi, baadhi ya wanausalama
waliopangwa kulinda usalama Katika Mahakama ya
↧