Hatmaye miezi 12 imekamilika leo ikiashiria kumalizika kwa mwaka 2014 utakaokumbukwa na wengi kwa kuwa na matukio motomoto.
Matukio
ya kukumbukwa ni mengi, hata hivyo andiko hili litahitimishwa kwa kuangazia baadhi ya matukio muhimu yalivyoibua
mijadala ya kitaifa na kuvuta hisia za watu wengi.
Tanzania Kinara wa ujangili
Februari
10, 2014, ikiwa ni siku chache kabla ya Rais
↧
Kwa heri mwaka 2014 uliyenogeshwa na Vituko Vingi na Matukio motomoto likiwemo la Katiba na Escrow
↧