JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne, akiwemo baba mzazi, Emmanuel Shirinde (28) wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel ambaye aliporwa na watu wasiojulikana waliovamia nyumbani kwao.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, tukio la uporwaji wa mtoto huyo lilitokea Desemba 27, mwaka huu saa 4.30 usiku katika kijiji cha Ndami tarafa ya
↧