Nina mke na watoto 3 wote tunafanya
kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la
ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka.
Tumewekana
vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vichocheo gani
vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko
karibu kifamilia.
Ukifuatilia labda mke wangu ana mtu sipewi taarifa zozote
mbaya. Sasa
↧