Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu
wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu
kwa biashara hiyo.
Msako huo unatokana na malalamiko ya
muda mrefu ya wakazi wa Jiji la Tanga hususan wanaoishi mitaa ya
Centrol na Ngamiani ambako biashara hiyo inadaiwa kukithiri.
Akizungumza
na Mwandishi hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa
↧