Mapenzi /urafiki wa
Idris Sultan na mrembo wa Afrika Kusini aliyekuwa swahiba wake wa karibu
kwenye shindano la Big Brother Africa, Samantha, umefika kwenye hatua
ya juu zaidi.
Samantha ambaye bado yupo nchini amepokelewa kwa mikono miwili na familia ya Idris.
“They’ve only been good to me and I can’t say thank you enough. How
people can love you this much but only no you a few weeks
↧