Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya Aliyekuwa
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi wamegoma
kushuka kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakishinikiza
kuelezwa jalada la kesi yao lipo wapi na imefikia katika hatua gani.
Sakata
hilo lilitokea jana majira ya saa 4:00 asubuhi, muda mfupi baada ya
Wakili wa Serikali, Peter Njike
↧