Maalim Hassan Hussein, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mtabiri
maarufu nchini, marehemu Sheikh Yahya Hussein, ametabiri mambo 18
yatakayotokea mwakani, likiwamo la kufariki ghafla kwa kiongozi mmoja
mzee ambaye yumo kwenye mbio za urais mwakani.
Hussein
alisema juzi kuwa kiongozi huyo atadondoka ghafla kwenye jukwaa na
kufariki dunia wakati akipelekwa hospitali.Akitangaza utabiri wa
↧