MSICHANA mmoja mkazi wa Mtaa wa Zaire eneo la Kijenge Kaskazini mkoani Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru chini ya ulinzi mkali wa Polisi baada ya kujizalisha mwenyewe na kisha kumtumbukiza mtoto wake kwenye ndoo ya maji.
Baba mwenye nyumba ambayo binti huyo alikuwa amepanga chumba cha kuishi, Reuben Mollel alisema msichana huyo alikuwa anajulikana kama ‘Dada Pendo,’
↧