MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba aliyokuwa amelala.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, matukio hayo yalitokea jana mchana kwenye maeneo mawili tofauti. Tukio moja
↧