Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika.
“02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko
(sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni
mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook.
“Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi
chochote bila kumfikilia yeye kwa jinsi alivyokua na mawazo
↧