Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama
mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni
7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
Oprah ana utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa Forbes. Hata
hivyo orodha ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana
utajiri wa dola bilioni 2.5.
Utajiri wa
↧