Said Fella amedai kuwa mashehe waliwahi kumfuata na kumtaka aache tabia ya kumvalisha suruali Bibi Cheka.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi TV, Fella alisema mashehe hao
walimfuata na kumwambia Bibi Cheka anatakiwa kuswali na sio kufanya
muziki.
“Kuna muda si unajua dini yangu ya Kiislam wakatokea mashehe ‘ehh
bwana unajua yule bibi mzee, kwanini mnamvalisha jeans!
"Na mimi
↧