Mvua
zilizonyesha kwa muda mfupi katika jiji la Dar es Salaam zimesababisha
mafuriko katika maeneo ya katikati ya jiji na kusababisha baadhi ya
maduka kufungwa na magari kuzimika barabarani kutokana na kuingiwa na
maji kulikotokana na tatizo sugu la miundombunu ya maji taka.
Mpekuzi imetembelea katika maeneo mbalimbali ya jiji katika
makutano ya barabara ya Morogoro na Bibi titi
↧