Mbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro
Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu
mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa
kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo
endelevu wanayotaka Watanzania.
Amesema, yuko tayari
kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa
↧