Siku chache baada ya Rais Kikwete
kumfuta kazi Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makazi
,mbunge huyo amewaambia wapiga kura wake kwamba hawakumchagua
kama waziri bali kama mwakilishi wao.
Tibaijuka alifukuzwa kazi na Rais Kikwete kufuatia kashfa ya akaunti ya tageta escrow ambapo
alipokea sh.billioni 1.6.
''Mungu anayetoa ndiye aliyechukua jina la
mungu libarikiwe",
↧