BAADA ya kudaiwa na staa
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba
zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka
na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke
mimba.
Akizungumza na GlobalTV Online hivi karibuni,
Diamond alifunguka: “Nilimpa (Penny) mimba ya kwanza, sikuamini ikabidi
twende naye
↧