Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, wilayani
Butiama, Ryakora Kurwijira (34) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shati
lake akiwa ukweni baada ya kukataliwa na mkewe aliyekuwa akiishi naye.
Habari zilizopatikana kutoka kwa ndugu wa karibu, zinaeleza kwamba
marehemu alikuwa akiishi na mkewe aitwaye Doy Nyanyara katika Kijiji cha
Nyatwari wilayani Bunda kwa kipindi
↧