Rais
Jakaya Mrisho Kikwete ametengua uteuzi wa waziri wa ardhi, nyumba na
maendeleo ya makazi Prof. Anna Tibaijuka kutokakana na makosa ya
ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma hasa namna alivyopokea sehemu
ya fedha za malipo ya Escrow huku akimweka kiporo waziri wa nishati na
madini Prof. Sospeter Muhongo.
Rais Kikwete ameyasema hayo jijini Dar es salaaam alipokuwa
akizungumza
↧