Mastaa mbalimbali wamajitokeza na kumponzea mwanadada Jokate Mwegelo
kwakuweza kupambana na kufanikiwa kuingia mkataba na kampuni kutoka
China , kwaajili ya kutengeneza vitu mbalimbali kama nywele, viatu, na
nk ,kupitia kampuni yake ya KIDOTI.
Mwigizaji Wema Sepetu nae haukuwa nyuma kwani jana kupitia mtandao alimpongeza mwanadada Jokate kwa hatua aliyofikia na akasema hii ni kama
↧