Wakati kila mtu akiamini mwalimu wake wa lugha ya
Kiingereza ni Wema Sepetu ‘Madam’ staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’ ameibuka na kudai aliyemfundisha lugha hiyo ni aliyekuwa
mpenzi wake, Peniel Mungilwa.
Diamond aliwataka watu wote waliokuwa
wakiamini Wema ndiye mwalimu wake wa ung’eng’e wafute imani hiyo kwani
Penny ndiye mpango mzima.
“Ujue kila mtu huwa ana hisia
↧