Taarifa iliyotolewa jana usiku na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu
jijini Dar es salaam, ilieleza kuwa kumeitishwa Mkutano na waandishi wa
habari Jumatatu asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkutano utafanyika leo saa tatu kamili asubuhi na kila chombo kimetakiwa
kutuma Mwandishi pamoja na mpiga picha ambao wametakiwa kuwa tayari
wameketi vitini ifikapo saa Mbili Unusu bila
↧