C/HQ/ADM/PRESS/37 21/12/2014
Ndugu waandishi wa habari,
Tumewaita
hapa baada ya kupata fununu kuwa Rais Jakaya Kikwete anataka
kutumia hotuba yake ya kesho( leo ) na wanaoitwa, “Wazee wa Dar es Salaam”
kutetea wizi mkubwa wa fedha za umma uliofanyika ndani ya Benki Kuu
(BoT), kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow.
Tunazo taarifa kuwa Rais
↧