Kamati Kuu ya Chadema imesema
tathmini yao kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba
14, mwaka huu imebaini kuwa ulihujumiwa.
Pia,
kimewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia
kujitathmini na kuchukua hatua za kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na
kushindwa kusimamia ipasavyo
↧