Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania,Flora Mbasha,
amekwenda katika mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar-es-Salaam,
akiomba kuvunjwa kwa ndoa yake na mumewe Emanuel Mbasha.
Flora amefungua kesi ya madai namba 64 ya mwaka huu kesi ambayo inasikilizwa na hakimu mkazi, Devota Kisoka.
Flora anadai kuomba kuvunja ndoa hiyo na apewe talaka kutokana na
tabia ya mumewe
↧