Chama
cha Mapinduzi wilaya za Rorya na Musoma mkoani Mara wamemtaka
waziri mwenye dhamana na serikali za mtaa kuchukua hatua za haraka
kwa wakurugenzi wa halmashauri hizo kabla ya kuitisha maandamano ya
kuwatoa katika ofisi zao kwa madai ya kuvuruga zoezi zima la
uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya Rorya Samwel Kiboye, amesema
↧