Mamia
ya wananchi na wafuasi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA katika kata
ya Kumsenga wilayani Kibondo mkoani Kigoma, wameandamana kupinga
wagombea wa UKAWA kuondolewa katika uchaguzi wa serikali za vijiji
uliofanyika jumapili iliyopita katika vijiji vya kata hiyo kutokana na
hila za maafisa wa serikali.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilayani
Kibondo
↧