Mamlaka
ya Hali ya Hewa Tanzania – TMA, kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya
Nguvu za Atomiki imewataka wakazi wa Kiseke jijini Mwanza wanaoishi
ndani ya eneo la mita 500 hadi kilometa moja toka eneo ulipojengwa mnara
wa rada ya hali ya hewa kuhama mara moja ili kujikinga na madhara
yanayoweza kusababishwa na mionzi pindi mtambo huo utakapoanza kazi
rasmi.
Meneja wa mradi huo wa
↧