Serikali
imesema itawataja hadharani watu wote wanaodaiwa kujihusisha na wizi wa
dawa zinazonunuliwa na serikali kupitia Bohari Kuu ya Madawa (MSD) ili
waweze kutambuliwa na wananchi, ambao wamekuwa wakichangia ukosefu wa
dawa katika vituo vya afya na hosipitali za serikali hapa nchini.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk
Dornald Mmbando wakati wa
↧