WAKURUGENZI
wa bendi hasimu za dansi Tanzania, African Stars, Asha Baraka na Extra
Bongo, Ali Choki, jana wameongoza mamia ya waombolezaji kumzika aliyekuwa
mnenguaji wa zamani wa bendi hizo, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’.
Mazishi
ya Aisha Madinda yamefanyika jana kwenye Makaburi ya Kijiji cha
Mikwambe, Kigamboni jijini Dar es Salaam, baada ya kukwama kufanyika
juzi kutokana na
↧