Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006, mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate
Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya
Kichina, Rainbow Shell Craft Company Limited
kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.Makubaliano
hayo yalisainiwa jana kwenye hotel ya
Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa
↧