Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda
unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar
es Salaam.
Akizungumza na mtandao wa Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka
amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi
linalotarajiwa kuchukua masaa mawili.
Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa
↧