Pamoja na tetesi kuwa nguli wa filamu za Kibongo
Blandina Chagula ‘Johari’, ameshindwa kushika mimba, mwenyewe ameamua
kufunguka na kudai kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni
kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu
kuzalishwa.
Akizungumza na Amani, Johari alisema kuwa endapo akitokea tayari yupo
ndani ya ndoa anaweza kufanya hivyo lakini kwa
↧