Siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, ameibuka na kusema yeye pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, hawawezi kuchukua uamuzi huo kwa sababu Rais Jakaya Kikwete anawategemea kwa uchapaji kazi wao.Prof. Tibaijuka na Prof. Muhongo, ni miongoni mwa
↧