Siku ya Desemba 17, mwaka huu haikuwa poa hata kidogo kwenye tasnia ya muziki wa dansi Bongo katika kipengele cha unenguaji.
Zilikuwa ni habari mbaya za kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei mbaya wa
Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ inayosimamiwa na Kampuni ya
ASET chini ya mkurugenzi wake, Asha Baraka, Mwanaisha Mohamed Mbegu.
Wengi tulimzoea kwa jina la stejini la Aisha Madinda.
↧