Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel
Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume
wa kuzaa naye.
Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa jana (Alhamisi)
na gazeti la Amani kuwa, alimpa mimba mara mbili binti huyo
lakini zikayeyuka katika mazingira ya kutatanisha.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Penny alisema,
↧