Aliyekuwa mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.
Akiongea
na Mpekuzi, Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta amesema kuwa alipewa
taarifa na Daktari mmoja kuwa wameona kama mwili wa Aisha Madinda
hospitalini hapo, ndipo akatuma watu kwenda kuangalia akiwemo Luiza
Mbutu ili kuhakikisha kama kweli ni yeye ndipo
↧