Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia
(pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda,
Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa
Serikali za Mitaa.
↧