Mwanasheria
Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) Disemba 16 amejiuzulu
nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete.
Mwanasheria
mkuu, pamoja na baadhi ya wanasiasa na maafisa waandamizi wa serikali
walituhumiwa kuhusika kwa namna moja au nyingine kufanikisha kufanyika
kwa miamala haramu ya fedha za
↧