Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa
yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu
wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki
iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza.
Miongoni mwa magari yaliyotekwa, mawili yalikuwa ni mabasi ya abiria,
Super Najmnisa na Princess Mnaa huku mengine yakiwa ni malori na gari
↧