Kijana ambaye jina lake haikufahamika mara moja,
amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za wizi wa
pikipiki jijini Dar.Tukio hilo la kusisimua limetokea jana asubuhi
Magomeni-Mwembechai, ambapo lilisababisha foleni ndefu ya magari
wakati kijana huyo akiadhibiwa na wananchi.
Mashuhuda wa tukio hili walisema kijana huyo na wenzake waliiba
pikipiki mbali na hapo
↧