Chama
cha Wananchi - CUF kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuwajibisha Waziri
Mkuu na Waziri wa TAMISEMI kwa kushindwa kusimamia uchaguzi wa serikali
za mitaa baada ya kuibuka dosari kubwa zikiwemo kukosekana kwa wino,
majina ya wananchi na karatasi za kupigia kura jambo lililoleta vurugu
na kusababisha vituo vingi kurudiwa uchaguzi.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa
↧