Chama
cha Demokrasia na Maendeleo wilayani Iringa kimelalamikia rafu na
kasoro mbalimbali zilizojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa
uliofanyika Disemba 14 na kusema kuwa uchaguzi huo uligubikwa na kasoro
nyingi ambapo wakati uchaguzi huo wa marudio ukiendelea hapo jana, watu wasiojulikana
wamemshambulia kwa nondo na mapanga katibu wa mbunge wa Iringa mjini
Bwana Joseph
↧