Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Halifa Hida, ofisini
kwake akiwa mbele ya waandishi wa habari ametangaza matokeo ya uchaguzi
wawenyeviti wa serikali za mitaa katika mitaa 175 ya Jimbo la Nyamagana
jijini Mwanza.
Hida amesema katika kata ya Mabatini yenye jumla
ya mitaa 6, CCM 5 Chadema 1, kata ya Mbugani yenye mitaa 6, CCM 3
Chadema 3, kata ya Butimba jumla mitaa 8, CCM
↧