Imeelezwa kuwa uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Serikali za Mitaa nchini
uliofanyika juzi Jumapili umeendelea kumwaga damu ambapo
mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Simeo Isaka (42), mkazi wa
kijiji cha Ngokolo kata ya Bukomela wilayani Kahama mkoani Shinyanga,
ameuawa kwa kukatwa na jembe kichwani na watu wasiojulikana wakati
akishangilia ushindi wa mgombea wa Chama Cha
↧