Kumetokea hali isiyo ya kawaida iliyowastua wananchi wa mtaa wa Msalala
Road mkoani Geita ya kuondokewa na mgombea wa nafasi ya Wajumbe wa
Serikali za Mitaa (Viti Maalumu) kupitia chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) Bertha Nchimanyi (40) baada ya kukutwa amekufa
kisimani.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 9:00 wakati mgombea huyo alipotoka nje kuongea
↧