CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezoa viti vingi vya vitongoji, mitaa na vijiji vilivyokuwa vikikaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime.
Matokeo ya awali yanaonesha Chadema imeshinda vitongoji zaidi ya 100 kati ya vitongoji 503, mitaa zaidi ya 30 na vijiji zaidi ya 30 kati ya vijiji 88.
Awali Chadema walikuwa na vijiji 4 na vitongoji zaidi 13. Mkurugenzi
↧