Mganga wa tiba za asili, Omari Kikukwa (32) mkazi wa Kijiji cha
Bondo , Kata ya Mswaki wilayani hapa anashikiliwa na polisi kwa
kuwachoma moto wateja wake na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Aziza
Hassani (35) mmoja wa mwanafamilia aliyenusurika kwenye mkasa huo
akisimulia kuwa ilikuwa tarehe 27 mwezi uliopita yeye, mama yake pamoja
na watoto wake wawili walipelekwa kwa mganga wa
↧